Miongoniiii mwa vituuu ambavyo navipenda sana na huwa najiisi raha nikiwa karibuu yake siii kitu chengine zaidi ya studio.Kwa sababu huwa naamini ni herii upoteze siku nzima ukiwa studio unaweza kupata kitu kizuriii na tofauti unavyofikiria wewe na huwa napenda sanaa kujenga urafiki na producer ambaye nahisi anaweza kunifanyia kitu kizurii .na urafiki wangu kwao nakuja pata majibu pindi track yangu itakapokuwa imeisha toka kwenye imaa yao kuja kwenye imaaa yanguuu naa urafikii wanguu kwaoo unanisaidia sana kwakwelii siweziiii uwelezea kiundaniii ilaaaa huwa nafurahiii kuona kitu ambacho nilikitegemea .kiukweliiii mungu awajaaliee all producer in the word .
0 comments:
Post a Comment