Tuesday, February 25, 2020

TUNDAMAN-KINATOKA OFFICIAL VIDEO

Thursday, August 7, 2014

TEAM TUNDA MAN IN KENYA







Team tunda wakiwa wasilii toka tanzania ndaniii ya mjiiii wa mombasa mjiniii kenya . Wakijiandaa naa matamasha makubwa yaliyopo nchinii hapooo kenya ambayooo yatafanyika tarehe 08/08/2014 nchiniii humooooo . wakiongozwaa naa rais wa kikosii hicho aitwaye khalid ramadhanii tunda auuuu kwa jina jenginee mwitee captain wa bongo fleva

Wednesday, July 16, 2014

TUNDA MAN AKIWA STUDIO NA MENSEN SELEKTA WAKIFANYA YAO










Miongoniiii mwa vituuu ambavyo navipenda sana  na huwa najiisi raha nikiwa karibuu yake siii kitu chengine zaidi ya studio.Kwa sababu huwa naamini ni herii upoteze siku nzima ukiwa studio unaweza   kupata kitu kizuriii na tofauti unavyofikiria wewe na huwa napenda sanaa kujenga urafiki na producer ambaye nahisi anaweza kunifanyia kitu kizurii .na urafiki wangu kwao nakuja pata majibu pindi track yangu itakapokuwa imeisha toka kwenye imaa yao kuja kwenye imaaa yanguuu naa urafikii wanguu kwaoo unanisaidia sana kwakwelii siweziiii uwelezea kiundaniii ilaaaa huwa nafurahiii kuona kitu  ambacho nilikitegemea .kiukweliiii mungu awajaaliee all producer in the word .

Tuesday, July 15, 2014

MKUTANO MKUU WA MAENDELEO YA SANAA NA WASANII



   
 
 
 
 
 
Ni ndanii ya mkutano wa maendeleo ya sanaa na wasanii katika biashara .Kiukwelii nilijifunza vituu vingi sana juu ya kikao hichi cha maendeleo ya sanaa na wasaniiii kilichofanyika BOT HALL  maeneo ya posta .Nilijifunza vituu vingi ikiwemo jinsii ya mziki wetu kuufanya uwe biashara kwetu kwa ajilii ya kukidhi maitaji yetu na taifa kwa ujumla .

Sunday, July 13, 2014

ONE OF THE BEST SHOWS THAT I DID IN 2014

  1. THERE ARE SOME DAYS THAT I FEEL UN COMFORTABLE  BUT WHEN IM ON THE STAGE WITH MY TRUE FANS  I FEEL MORE THAN HAPPY COZ MUSIC IS MY EVREYTHING

 

Copyright @ 2013 Tundaman.