Ni ndanii ya mkutano wa maendeleo ya sanaa na wasanii katika biashara .Kiukwelii nilijifunza vituu vingi sana juu ya kikao hichi cha maendeleo ya sanaa na wasaniiii kilichofanyika BOT HALL maeneo ya posta .Nilijifunza vituu vingi ikiwemo jinsii ya mziki wetu kuufanya uwe biashara kwetu kwa ajilii ya kukidhi maitaji yetu na taifa kwa ujumla .
0 comments:
Post a Comment