
Team tunda wakiwa wasilii toka tanzania ndaniii ya mjiiii wa mombasa mjiniii kenya . Wakijiandaa naa matamasha makubwa yaliyopo nchinii hapooo kenya ambayooo yatafanyika tarehe 08/08/2014 nchiniii humooooo . wakiongozwaa naa rais wa kikosii hicho aitwaye khalid...