Juma pili Hii moto utawaka pale Club 71 katika Uzinduzi wa Video ya Msambinungwa, Njoo uone Mwanzo wa Mabadiliko ya Show zangu, Nataka Kufanya Kitu tofauti kidogo Kwa wakati huu.
Show nzima itasindikizwa na Wakali wa @tiptopConnection itakuwa ni Balaa Usikose Mtu wangu.
0 comments:
Post a Comment