|
Hapa nikisalimiana na Mashabiki na wage waliofika usiku huo..... |
|
Mzuka ulipanda nikashuka kwa stage na kucheza pamoja na watu wangu |
|
Nasema mzomeeni ...huyooo huyooo, hapa nikicheza na Fan wangu |
|
Nikiimba live bila Bit pamoja na Fanz wangu, ilikua raha sana |
|
Hapa nikiwa nawaburudisha wakazi wa Moro na Wanandumi On stage |
|
Huyu ndye mshindi aliye patikana usiku huo ambaye amekaa na mshindi wa pili kushoto na wa tatu kulia |
|
Nafurahi sana kwa upendo wa mashabiki, huwezi kuamini Nilicheza mpaka nikadondoka chini |
|
Oya oya kaa ukijua starehe Gharama....oyaaaaa kaukijuaaaa |
|
Different Rangi one people...love love kwa wote |
|
Siyo black Peple tu wanaonielewa hata hawa wazungu wananielewa sanaaa tu |
|
Wanandumi ...Makuzi na Nabby |
|
wanandumi |
Tundaman
Write something about Auhtor Profile
0 comments:
Post a Comment