Baada ya Demu sio, kwa sasa tayari niko kwa michakato ya kufanya video yangu baada mambo flani kuzingu,nilishindwa kufanya video hiyo lakini kwa sasa niko poa sana na mwisho wa mwezi huu tutaanza rasmi kushoot video hiyo.katika ngoma hii nmemshirikisha Chege kutoka kiumeni, wimbo unaitwa "Wanaona haya", natafuta warembo
10 wenye muonekano mzuri ili waweze kushiriki katika video hiii, kuhu malipo na kila kitu nitasimamia.
Kama unahisi unamuonekano mzuri na unaweza kucheza na camera vizuri, niwakati wako sasa,unaweza kutucheck kupitia number hizi... 0716 31 64 31/0752 01 44 40 ili tuweze kuzungumza kuhusu malipo na jinsi gani ya kufanikisha shughuli nzima ya video hii.

THANX.
0 comments:
Post a Comment