Friday, November 2, 2012

WANAONA HAYA NILIYOFANYA NA CHEGE IKO TAYARI

Chege

Wimbo ambao nimemshirikisha Mtoto wa Mama Said kutoka Kiumeni  Chege Chigunda, ukotayari na kwa sasa niko katika harakati za kuelekea Kenya kwenda kufanya kichupa na Ogopa DJS,

Chorus.
"wameinama wameinuka, wanaona haya haooooo..! "
"wameinama wameinuka, wanaona haya haooooo..! "
"wameinama wameinuka, wanaona haya haooooo..! "
 "wameinama wameinuka, wanaona haya haooooo..! "
 2 times,

hiyo ndiyo chorus na mpango mzima wa bit Maneck kahusika vyema.
Get read for this Hit,

Tundaman

Write something about Auhtor Profile

0 comments:

Post a Comment

Copyright @ 2013 Tundaman.