Tuesday, November 6, 2012

SIKILIZA WIMBO NA DOWNLOAD MPYA WA MSANII WANGU D-BOY


Huyu ndiyo D-Boy ambae ni msanii yuko chini yangu na hii ni ngoma yake ya kwanza nikiwa nimesimama kwa chorus sikiliza na download hapa, 

Choras, 

"mapenzi hayalazimishwi,mapenzi hayafananishwi, mapenzi ni ridhaa yako,ninaweza kufa sababu yako, sina hela ila upendo ninao,njoo kwa kabwela mabitozi achananao,"

Tundaman

Write something about Auhtor Profile

0 comments:

Post a Comment

 

Copyright @ 2013 Tundaman.