Monday, November 26, 2012

SHARO MILLIONEA AFARIKI DUNIA

Siamini kabisa kama sharo milionea afariki dunia,leo mida ya saa tatu usiku baada ya kuondoka dar es salaam mida ya saa kumi akielekea tanga alipofika maeneo ya vibandani gari iliingia kwenye makolongo na kupelekea kifo chake, mungu ailaze roho yake mahali pema peponi, tulikua na mipango ya kufanya video ya wimbo alionishirikisha unaitwa vuvu.


Tundaman

Write something about Auhtor Profile

0 comments:

Post a Comment

 

Copyright @ 2013 Tundaman.