Friday, November 9, 2012

NIMESIKITISHWA SANA NA MAMBO ALIYO ONGEA SOUD BROUWN LEO



Jamani eeeh.. wote tunanjaa lakini haya mambo ya kupeleka habari za uongo ili upewe elfu ishirini siyo poa kabisa, mimi siwezi kumlilia demu ila demu ananililia mimi, na wewe Soud unapoletewa habari zichunguze kwanza mambo mengine ni kuharibiana tu, kwa wanaonifahamu hawawezi kukubaliana na hicho kitu hata kidogo.habari hizo ni uzushi mtupu.

Tundaman

Write something about Auhtor Profile

0 comments:

Post a Comment

 

Copyright @ 2013 Tundaman.