Saturday, October 27, 2012

MADEE HAJATOKA TIP TOP CONNECTION

Taarifa zilizoandikwa na website ya bongoclantz kuhusu Madee kutoka TipTop siyo kweli ni uzushi mtupu na hata sielewi taarifa hizi wamezitoa wapi, Madee bado yupo chama kubwa kama kawa pia na mimi bado nipo tunapiga kazi tu,hao walioandika habari hizo ni waongo wala msiwasikilize.

Madee & Me

Tundaman

Write something about Auhtor Profile

0 comments:

Post a Comment

 

Copyright @ 2013 Tundaman.