![]() |
Chidi Benz |
Kuanzia sasa mimindie nitakua msimamizi wa kazi za msanii Chidi Benz,na nimejipanga kumrudisha chidi kama zamani katika game, na kwa sasa tumegonga ngoma mbili kali sana ambazo zimefanyika AM Rec,kwa mdundo wa Manecky,kaeni tayari kupokea kazi nzuri.
0 comments:
Post a Comment