Tunda Man jana majira ya jioni nilikuwa nafanya video yangu nyingine ambayo ni kama nairudia baada ya ile ya kwanza kutengenezwa na Adam Juma wa Visual Lab. Video hiyo sio nyingine bali ni hii inayoitwa DEMU SIO..
Mimi Tunda nimeamua kurudia video hiyo kwa sababu video ya mwanzo haikua na muonekano wa sebene kama wimbo ulivyotakiwa..lakini video hii mpya naahidi kuwa itakuwa kali kuliko ya mwanzo pia kuna madancer ambao wamefanya vitu vya hatariiiii ( wana Ndumii)na pia kuna mastar wa bongo utawaona...
PICHA TOFAUTI KATIKA LOCATION
Mambo yalikuwa kama hivyoo...
Tunda Man
Mwanadada akifanya kazi yakee...
Captain Tunda nikiwa na Wana Ndumi..
Ukimwona alivyopendeza utam.....??
Huyu dada ndio Muhusika mkuu ktk video ya Demu Sio!
Vijana kutoka Am Records nao walikuwepo kunipa tafu mshkaji wao ktk video hii
0 comments:
Post a Comment