Saturday, January 26, 2013

DAR LIVE LEO KITANUKA NA USIKU WA MASTAR

Leo nitakuwepo katika show ya usiku wa mastar na wasanii wa bongo movi kibao,ntapiga show moja kali sana.
Kisha na dondo sinza meeda kupiga show nyingine na Extra Bongo,Usikosee mtu wangu


No comments:

Post a Comment